Mtaalamu wa Saikolojia na Ushauri, Imelda Mosha ameeleza matukio makubwa matatu yanayosababisha mtu kuwa na trauma, matukio hayo kwa mujibu wa Imelda ni pamoja na kumpoteza mpendwa au mtu wa karibu, migogoro ya mahusiano na hali ya kushuhudia matukio ya kutisha.

✍Nifa Omary
Mhariri | @Claud_jm

#AzamTVUpdates #MorningTrumpet #UTV108

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *