#NBCPL Ni dakika cha majeruhi…..Chuga kamuona Mmwanuke; Mwanuke akapiga ‘tangulia’, kisha akamwaga mma…..mabeki wote wakayumba…M...

#NBCPL Ni dakika cha majeruhi…..Chuga kamuona Mmwanuke; Mwanuke akapiga ‘tangulia’, kisha akamwaga mma…..mabeki wote wakayumba…Mudrick Abdi Shehe akatia kichwa tu….Goli la kwanza kabisa kwa Fountain Gate kwenye ligi msimu huu.

Tazama ilivyokuwa

FT’: Fountain Gate 1-0 Dodoma Jiji

Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #FountainVsDodomaJiji #FountainGate #DodomaJiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *