KUTOKA BURUNDI: Tazama kikosi cha Singida Black Stars kilivyowasili uwanja wa Ndege Bujumbura Burundi na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki.
Singida BS watakuwa wageni wa Flambeau de Centere katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)
Mchezo huo utapigwa Jumapili ya Oktoba 19, 025 na kurushwa LIVE na #AzamSports4HD saa 10:00 jioni.
Wenzetu @katangaommy na Wiston wapo pamoja na msafara huo.
#CAFCC #SingidaBS