#NBCPL: Peter Lwasa aipatia Pamba Jiji alama tatu kwa kufunga magoli yote mawili.
FT’: Pamba Jiji 2-1 Mashujaa
Saa 10:15 jioni ni Fountain Gate dhidi ya Dododma Jiji, LIVE #AzamSports 1 HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiVsMashujaa #PambajIji #MashujaaFC