KMC vs MBEYA CITY: Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini anasema mechi ya Yanga ilikuwa nyepesi zaidi kuliko mechi yao ya kesho dh...

KMC vs MBEYA CITY: Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini anasema mechi ya Yanga ilikuwa nyepesi zaidi kuliko mechi yao ya kesho dhidi ya KMC.

Kocha huyo anasema mechi ya Yanga imewasadia wachezaji wake kuongeza kujiamini zaidi kuelekea mechi ya kesho.

Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#NBCPL #NBCPremierLeague

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *