Familia nyingi zimejikuta zikibeba mzigo mkubwa wa madeni baada ya harusi, huku wengi wakiwa hawajui ni kwanini waliingia kwenye hali hiyo. Wasikilize washereheshaji wakielezea baadhi ya sababu zinazowavutia wengi kuingia kwenye madeni hayo.
#AzamTVUpdates
✍Nifa Omary
Mhariri | John Mbalamwezi