NBC Premier League Jumapili hii
Saa 10:00 Jioni, Mtibwa Sugar watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Mangushi Coastal Union
Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa uwanja wa nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwaalika wauaji Kusini Namungo FC.
Mechi hizi kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#NBCPL #Azamtvsports