KMKM vs AZAM FC: Mkali wa takwimu na mchambuzi wa soka @ramadhanmbwaduke ameichambua vema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya KMKM dhidi ya Azam FC.
Mbwaduke ametoa takwimu za baadhi ya matukio katika mchezo huo na amegusia nafasi ya KMKM kwenda hatua ya makundi.
FT: KMKM SC 0-2 Azam FC
#CAFCC #CAFConfederationCup #KMKMSC #AzamFC #KMKMAzamFC