Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya watu wanaodai benki kuu ya Tanzania inachapisha fedha kuto…Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya watu wanaodai benki kuu ya Tanzania inachapisha fedha kuto…

Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya watu wanaodai benki kuu ya Tanzania inachapisha fedha kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni uhaba wa pesa ulioikumba Hazina akisema kuwa hakuna nchi yenye mtambo wa kuchalisha fedha.

Dkt Nchemba ametoa ufafanuzi huo October 18/2025 akiwa kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Katavi ambapo amesema hakuna nchi inayoweza kujiamulia kuchapisha fedha kwakuwa kuna utaratibu wake.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *