SERIE A
Saa 7:30 mchana, Como watakuwa uwanja wa nyumbani Stadio Giuseppe Sinigaglia wakiwakaribisha Juventus.
Katika msimamo wa Serie A, Como ana alama tisa huku Juve akiwa na alama 12.
Je, kibibi kizee cha Turin kuongeza mtaji wa alama ama Como kumfikia
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
@seriea