Arteta amwagia sifa Leandro Trossard, aisubiri Atletico Madrid
Kocha mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amempongeza Leandro Trossard kwa kitendo cha kuisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi muhimu dhidi ya Fulham, kwenye mechi ya jana Jumamosi, Oktoba 19, 2025.