SPORTS AM | Mkuu wa Matangazo na Promosheni wa Mafia Boxing Promotion, Omari Cliton anafunguka ugumu waliokutana nao wakati wanaazna kutekeleza majukumu yao ya #Vitasa na aina ya mabondia waliokuwanayo.
Kwa upande mwingine Cliton amesema lengo lao lilikuwa ni kuhakikisha wanapata mechi za kimataifa kwa kuwaleta mabondia wa nje kuja kucheza nchini.
Mhariri: @allymufti_tz
#AzamSports #MafiaBoxing #OmariCliton