KMKM vs AZAM FC: “Ibenge hadharau timu nyoyote”

KMKM vs AZAM FC: “Ibenge hadharau timu nyoyote”
Mchambuzi wa soka @leomusikula_ anasema Kocha Florent Ibenge aliichezesha timu yake kwa nidhamu jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM pale Zanzibar.

Musikula anasema Azam FC iliiheshimu KMKM na ndio maana ilikuwa inashambulia na kujilinda.

Musikula anasema kuhusu mechi ya Nsingizini Hotspurs watazamaji wakae na maji ya uhai wapate burudani.

Kuhusu mechi ya Flambeau du centre dhidi ya Singida BS, Musikula anasema bendera ya Tanzania itapeperushwa vema.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCL #CAFCC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *