SILVER STRIKERS vs YANGA: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mhariri wa magazeti Nasongelya Kilyinga anasema unaweza usiilamu sana ...

SILVER STRIKERS vs YANGA: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mhariri wa magazeti Nasongelya Kilyinga anasema unaweza usiilamu sana Yanga na ukapaswa kuisifu safu ya ulinzi ya Silver Strikers kwa namna walivyoweza kuwazuia Wananchi kupata goli.

Yanga ilipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Silver Strikers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SportsAM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *