KUTOKA ESWATINI: Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anawakilisha nchi za Eswatini na Madagascar, Hamad Khamisi ameita...

KUTOKA ESWATINI: Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anawakilisha nchi za Eswatini na Madagascar, Hamad Khamisi ameitakia kheri Simba SC, kuelekea mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs.

Naye nahodha wa timu hiyo Shomari Kapombe amzungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake.

Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCL #SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *