#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha,Cecilia Paresso, amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekua chachu ya wanawake wengi kugombea nafasi za Uongozi kutokana na uongozi wake thabiti na imara.
Paresso amewataka wananchi kumchagua Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, aendeleze juhudi za wanawake kushiriki kwenye vyombo vya maamuzi.
Paresso amezungumza hayo katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Kongwa Dodoma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.