#LaLigaEASports Wageni wameondoka na pointi tatu muhimu wakati wenyeji wakiambulia ‘red card’ mbili….
FT: Getafe 0-1 Real Madrid.
Je, unasemaje kuelekea El Clasico wiki ijayo??
Burudani itakufikia LIVE #AzamSports3HD
#LigiKuuHispania #LaLiga #LaligaUpdates #RealMadrid #Getafe #GetafeRealMadrid