Israel imeanza tena kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika ukanda wa Gaza// Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukubaliana na masharti ya Urusi ili kumaliza vita// Mji wa al-Fashir katika mkoa wa Darfur, Sudan, unazidi kuwa kitovu cha maafa makubwa ya kibinadamu baada ya mashambulizi.