Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa limewahakikishia wananchi kuwa kuanzia sasa majanga ya moto na ajali yatadhibitiwa ipasavyo kutokana na uwepo wa mitambo ya kisasa.
Kamanda wa Jeshi hilo mkoani humo ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi magari na mitambo sita ya uokoaji iliyonunuliwa na serikali, akibainisha kuwa vifaa vingine vitawasili mwezi Novemba mwaka huu.
✍Mohammad Nyaulingo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates