Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema akipewa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha anasimamia sekta ya afya, elimu na kusimamia misingi ya matumizi sahihi ya fedha za walipa kodi ili kuleta maendeleo.

✍Alpha Jenipher
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *