UONGOZI WA MBEYA CITY: Afisa Mtendaji Mkuu wa Mbeya City Ally Mnunduma aeleza jinsi wanavyofanya mauzo ya jezi kwa msimu huu na namna maboresho yalivyofanyika katika utengenezaji na uuzaji wa jezi hizo kwa msimu mzima.
Kwa upande mwingine Mnunduma ameongeza kuwa kwa sasa bado hawajapata taarifa yeyote kuhusu utengenezaji wa jezi feki za timu yao na wameweka mikakati mizuri kupambana na changamoto hiyo.
Imeandikwa na @davidkyamani
#Viwanjani #Mbeya City #AzamTv