MBEYA CITY vs TZ PRISONS: “Mashabiki wetu wengi wangependa tucheze Mbeya”
Kocha wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno amesema wapejipanga vema kunyakua alama tatu kesho kwenye mchezo wa NBC Premier League japo wangefurahi zaidi kama wangecheza mbele ya mashabiki wao.
Kwa upande wa mchezaji Dotto Shaban amesema wamejiandaa kufunga magoli mengi kesho dhidi ya wapinzani wao Mbeya City.
Mechi itapigwa dimba la KMC Complex, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPremierLeague #NBCPL