VIWANJANI: “Simba kipindi cha kwanza walikuwa wanatabirika”
Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mtangazaji wa ‘kabumbu’ @hinjojr anasema mabadiliko yaliyofanywa na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev wa Simba SC, yalileta mafanikio kipindi cha pili katika mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs.
Katika mchezo huo Simba ilishinda kwa jumla ya magoli 3-0 katika uwanjan wa ugenini.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani