MSHIKEMSHIKE: Yanga SC, Simba SC, Azam FC na Singida BS zinasaka hatua ya makundi CAFCL na CAFCC wikiendi hii. Una ushauri gani kwa timu hizi?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha #Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike