Salum Mwalimu anayewania Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amewaahidi wakazi wa Morogoro kuwa akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 atafanya maboresha ya mchakato wa matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo ili kubadilisha uchumi wa wananchi.
Emmanuel Kalemba ameandaa taarifa ifuatayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi