CAFCL, CAFCC: Watangazaji @hinjojr ambaye alitangaza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Nsingizini Hotspurs dhidi ya Simba...

CAFCL, CAFCC: Watangazaji @hinjojr ambaye alitangaza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Nsingizini Hotspurs dhidi ya Simba SC, pamoja na @mwakalobo_jr ambaye alitangaza mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Flambeau du Centre dhidi ya Singida BS, wamefunguka usiyoyajua kuhusu kazi hizo walizozifanya jana Jumapili.

Mwakalobo anasema jezi za Flambeau zilimpa shida kutambua namba zao za mgongoni.

Hinjo anasema kwenye mpira ‘surprise’ haziishi, amekumbushia tukio la Simba walilofanya Zambia.

#CAFCL #CAFCC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *