Serikali ya Mkoa wa Mwanza imesema licha ya juhudi na kampeni mbalimbali, vifo vya mama na mtoto bado vimeongezeka.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, madaktari bingwa 58 maarufu kama Madaktari wa Samia wamewasili mkoani humo kwa ajili ya kutoa huduma katika vituo vya afya kwa siku tano mfululizo.
Katibu Tawala wa Mkoa, Elikana Balandwa, amesema mpango huo unalenga kudhibiti vifo vitokanavyo na uzazi na kuboresha afya ya mama na mtoto.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *