NBC Premier League leo Jumanne

Derby ya Mbeya ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Saa 10:00 jioni, Mbeya City watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Tanzania Prisons.

Mbeya City wanaingia katika mchezo huu wakiwa wanaongoza ligi na alama saba huku Prisons akiwa nafasi ya 13 na alama tatu.

Je, The Purple Nation watazidi kusanya alama tatu na kuongoza msimamo ama kutembezwa mwendo wa mateka na maafande wa magereza

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#NBCPL #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *