“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers.
Kwa upande mwingine Kingamkono amesema kocha msaidizi wa Yanga, Patrick Mabedi anapaswa kuimarisha safu ya kiungo ya timu hiyo ili kutengeneza nafasi nying zakufunga.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#AzamSports #YangaSC