Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa upande wa klabu katika mashindano ya kimataifa…
kwa upande mwingine Maestro agusia ‘Goli la Mama’ na urahisi wa usafiri nje ya Tanzania.
#AzamSports #IbrahimMasoud