DODOMA JIJI VS MTIBWA SUGAR | Kocha mkuu wa Dodoma Jiji FC, Amani Josia amesema kikosi chake kinazidi kuimarika kila siku, na wamejiandaa vizuri kuelekea katika mchezo wao wa #NBCPremierLeague ambapo watakipiga dhidi ya Mtibwa Sugar kesho kwenye dimba la Jamhuri Dodoma.
Naye mchezaji wa timu hiyo, Andasoni Kimweli amesema wachezaji wote wamejiandaa vizuri kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo huo.
Mtanange wenyewe utapigwa kuanzia Saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
Imeandaliwa @jairomtitu3
#AzamSports #DodomaJiji #MtibwaSugar #DodomaJijiMtibwaSugar