Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ ameichambia Simba SC Simba ambapo wamerejea nchini wakitokea Eswatini baada ya kuichapa Nsingiz...

Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ ameichambia Simba SC Simba ambapo wamerejea nchini wakitokea Eswatini baada ya kuichapa Nsingizini Hotspurs 0-3 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua moja kabla ya kumaliza mchezo wa mwisho utakaoamua hatua yao kutinga hatua ya makundi.

Imeandaliwa na @jairomtitu3

#AzamSports #SimbaSC #SSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *