
Watu zaidi ya milioni moja warejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Watu zaidi ya milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita licha ya hali ya ukosefu wa usalama, shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema siku ya Jumanne.