Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika miksa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
Sheila Mkumba ana taarifa zaidi.