Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza kubandika majina ya wapiga kura walioandikishwa na kuwahimiza wananchi kuhakikisha taarifa zao kupitia kwenye vituo walivyoandikishwa.

Mwandishi wetu Upendo Michael ametembelea baadhi ya vituo kutazama hali inayoendelea.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *