#NBCPL Kwenye Dimba hili la Ali Hassan Mwinyi, Tabora, itapigwa mbungi ya kukata na shoka kati ya TRA United dhidi ya Mashujaa F...

#NBCPL Kwenye Dimba hili la Ali Hassan Mwinyi, Tabora, itapigwa mbungi ya kukata na shoka kati ya TRA United dhidi ya Mashujaa FC…

Je, vipi kuhusu maandalizi ya dimba kuelekea mchezo huo???

Anatoa maelezo Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa tabora, Awadhi Sabuni ambaye anaweka wazi pia baadhi ya timu ambazo zimeomba kuutumia uwanja huo kwa mechi zao za nyumbani…

#TRAUnited #MashujaaFC #NBCPremierLeague #AliHassanMwinyiStadium

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *