SIMBA SC: “…Mechi hii mashabiki wanaruhusiwa kuingia kiwanjani”

SIMBA SC: “…Mechi hii mashabiki wanaruhusiwa kuingia kiwanjani”

Kikosi cha Simba SC kinatarajia kuingia kambini kesho Jumatano kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake wa marudiano wa dhidi ya Nsingizini Hotspurs, ya Eswatini.

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally anazungumzia hali ya kikosi na jinsi kilivyopiga hatua, agusia ishu ya kocha wao msaidizi Selemani Matola kurejea kwenye benchi…

….kubwa zaidi ni uhakika wa mashabiki kuingia dimbani kwenye mchezo huo utakaopigwa Jumapili wiki hii, ambapo ametoa tahadhari kwa mashabiki akiwataka wasiwashe ‘fire-works’, baruti wala kuvamia uwanjani…

#SimbaSC #CAFCL #AhmedAlly

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *