YANGA SC: “….mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote”
Yanga yaingia rasmi kambini ikiwa na Clement Mzize kuiwinda Silver Strikers Ligi ya Mabingwa Afrika, yatangaza kuondoa viingilio kwenye mchezo huo utakaopigwa Jumamosi wiki hii..
Meneja Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ally Kamwe anatoa maelezo zaidi huku akiwatoa hofu pia mashabiki kuhusu benchi la ufundi, ambapo ameainisha sifa za kocha aliyekabidhiwa mikoba, Patrick Mabedi.
#SimbaSC #CAFCL