Mgombea urais wa chama cha NCCR Mageuzi, Ambari Haji Khamis ameahidi kufuta ushuru na kodi kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuyapa ahueni makundi hayo sambamba na kuchochea ukuaji wa shughuli zao.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *