Klabu ya Simba imefanikiwa kuwa miongoni mwa klabu 10 Barani Afrika zilizopo katika kinyanganyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora...

Klabu ya Simba imefanikiwa kuwa miongoni mwa klabu 10 Barani Afrika zilizopo katika kinyanganyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka 2025.

Ikumbukwe msimu uliyopita Simba ilifanikiwa kufanya vema Kombe la Shirikisho ikitinga hadi fainali, kombe likichukuliwa na RS Berkane ya Morocco baada ya Mnyama kukubali kichapo cha jumla cha mabao 3-1.

#StarTbUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *