SERIE A wikeindi hii
Juventus baada ya kupoteza mchezo uliopita ugenini, Jumapili hii tena yupo ugenini kukipiga na Lazio.
Je, tabu kuendelea ama kulipa kisasi cha kupoteza mchezo uliopita
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Serie A mbashara kupitia AzamSports3HD mwezi mzima.
@Lega Serie A @seriea