Uchaguzi huu ni wa saba tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania, mnamo mwaka 1992.

Unafahamu kwamba wananchi wa Zanzibar hupiga kura tano?

Wazanzibari humpigia kura Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo na diwani.

Tofauti na nchi nyengine, nchini Tanzania matokeo ya urais hayapingwi kisheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *