DRFA: “….timu zote nne zikiingia makundi, itakuwa ni sifa kwa nchi yetu”

DRFA: “….timu zote nne zikiingia makundi, itakuwa ni sifa kwa nchi yetu”

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam, Lameck Nyambaya amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye mechi za marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika (wakihusika Yanga na Simba) na Kombe la Shirikisho Afrika (wahusika wakiwa ni Singida BS na Azam FC).

Nyambaya ameeleza umuhimu wa timu zote nne kuingia hatua ya makundi na faida zake kwa nchi kimataifa…

#DRFA #Nyambaya #CAFCL #CAFCC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *