Steven Lameck (71) mkazi wa kijiji cha Silonge wilayani Tanganyika ameamua kurudi tena darasani baada ya kuishia darasa la 7 mwaka 1969.
Mzee huyo aliyejiendeleza kielimu kwa kujiunga na masomo ya sekondari kupitia programu ya Elimu ya Watu Wazima anatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne Novemba mwaka huu.
Amemsimulia mwandishi wetu Mwanaidi Waziri safari yake ya kielimu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi