Mgombea Urais kupitia chama cha MAKINI, Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania pamoja na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma iwapo atafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu.
Deus Liganga kutoka mkoani Singida anakuja na taarifa ya kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi