PROFESA ASSAD- HALI YA UCHUMI TANZANIA NI NZURIPROFESA ASSAD- HALI YA UCHUMI TANZANIA NI NZURI

PROFESA ASSAD- HALI YA UCHUMI TANZANIA NI NZURI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro (MUM), profesa Mussa Assad amesema hali ya uchumi nchini Tanzania ni nzuri huku ikiendelea kuimarika kwa Kasi.

Kwa mujibu wa profesa Assad, jambo hilo linaashiria
Mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya sita katika kusimamia uchumi jumuishi unaogusa wananchi wa kada zote.

Profesa Assad amesema hago leo Jumatano Oktoba 22, 2025 katika kongamano la kitaaluma la kujadili utekelezaji wa uchumi jumuishi kuelekea Dira ya Taifa ya 2050.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *