CAFCC: “Mimi naamini timu yetu inapenda kucheza nje kuliko hata uwanja wa amani”

CAFCC: “Mimi naamini timu yetu inapenda kucheza nje kuliko hata uwanja wa amani”
Kocha wa KMKM Hababuu Ali anasema timu nyingi Zanzibar zinapenda kuchza nje kuliko uwanja wa nyumbani kwasabu wanakosa uungwaji mkono.

Kocha huyo ametolea mfano mechi yao ya mkondo wa kwanza, waliokuwa wanashangiliwa ni Azam FC badala ya wao waliokuwa nyumbani.

Kocha huyo anasema wamewajenga vema vijana wao na wataicheza mechi hapo kesho. Kocha huyo anasema wachezaji wengine walikuwa wanamuona Feisal kwenye TV kutokana na ujana wao.

Mechi hiyo itapigwa saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports2HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCC #AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *