Katika kuimarisha huduma za bima na kukuza uwekezaji nchini kampuni ya bima ya kimataifa ya Allianz imeingia katika ubia na kampuni ya bima ya Sanlam na kuunda kampuni ya SanlamAllianz ili kuongeza uwezo na wigo wa utoaji huduma za bima kwa wananchi.

Wakizungumza baada ya kukamilisha muunganiko huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa SanlamAlianz kwa upande wa Tanzania, Julius Magabe amesema taasisi hiyo imelenga kutanua wigo wa soko la bima duniani na pato la taifa kwa huduma za bima za maisha na bima nyingine.

Imeandaliwa na Sheila Mkumba

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *