MBEYA CITY vs JKT TANZANIA: Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini anasema kesho wana mchezo mpya dhidi ya JKT Tanzania na kesho hawawezi kukubali kupoteza mechi mbili tena.
Kocha huyo anasema wamefanyia kazi makossa yaliyojitokeza kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tanzania Prisons.
Kwa upande wake mchezaji Sudi Dondola amesema kwa sasa akili yao ipo kwenye mchezo wa kesho na wameyasahau yaliyopita na hakuna mchezaji mwenye presha.
Mechi hiyo itapigwa kesho Ijumaa saa 10:00 jioni #AzamSports1HD.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#AzamSports1HD #JKTTanzania #NBCPremierLeague