Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CCK, David Daud Mwaijojele ameahidi kuimarisha huduma za afya kila kata nchini iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Ametoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Masingini wilaya ya Magaribi A Unguja.

Ali Issa anaeleza zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *